Dar es Salaam. Supastaa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameendelea kuimarisha nafasi yake kwenye ramani ya burudani ya Afrika baada ya kutajwa mshindi wa tuzo ya Top African Celebrity ...
Paris, Ufaransa. Ni mvua ya mabao ambayo imeshuhudiwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zilizochezwa katika majiji tofauti barani humo leo, Jumanne, Oktoba 20, 2026. Miongoni mwa mechi ...
Watumishi wa afya kutoka hospitali za Kitete na Jakaya Kikwete wakielezewa baadhi ya vifaa kwa ajili ya matibabu ya Moyo. Tabora. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete imeingia makubaliano na ...
Dar es Salaam. Uongozi wa 15 de Agosto umebadili uamuzi na kuruhusu mashabiki waingie katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwenye mechi yake ya nyumbani ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ...
Dar es Salaam. Nahodha msaidizi wa Simba, Rushine De Reuck, amesema bado ana matumaini ya kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’, akiamini kiwango chake akiwa na ...
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari 13 wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa), Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) na mgambo kwa tuhuma za kuhusika na vifo vya watu wanne ...
Dar es Salaam. Kocha wa Simba, Steve Barker, anaingia katika mtihani mwingine wa kimataifa dhidi ya 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, akiwa na faida ya kuifahamu timu hiyo, lakini amesisitiza kuwa ...
Dar es Salaam. Katika uchunguzi wa tukio la ndege ya Flydubai FZ1073, swali kuu si tena kama msaidizi wa rubani alimshambulia nahodha. Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema alitekeleza ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, akizungunza leo Oktoba 18, 2026, na wananchi na wafuasi wa chama hicho katika viwanja vya mji wa Bomang'ombe, vilivyopo wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro. Hai ...
Mtumishi wa muda mrefu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Idd Mshangama, enzi za uhai wake. Mtumishi wa muda mrefu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Idd ...
Arusha. Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watu watatu akiwemo Vivian Salekwa, mkazi wa Majengo jijini humo, kwa tuhuma za kupanga na kutoa taarifa za uongo kuhusu kutekwa kwake. Kamanda wa ...
Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi wa eneo la Uyole baada ya kusimamia kwa muda mfupi kuelezea mikakati ya Serikali kuboresha miradi ya maendeleo. Picha na Hawa Mathias Mbarali ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results