Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo mdogo wa hewa uliopo katika Bahari ya Hindi karibu na Visiwa vya Ushelisheli unatarajiwa kuimarika na kuwa kimbunga ndani ya ...
Dar es Salaam. Supastaa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameendelea kuimarisha nafasi yake kwenye ramani ya burudani ya Afrika baada ya kutajwa mshindi wa tuzo ya Top African Celebrity ...
Paris, Ufaransa. Ni mvua ya mabao ambayo imeshuhudiwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zilizochezwa katika majiji tofauti barani humo leo, Jumanne, Oktoba 20, 2026. Miongoni mwa mechi ...
Paris, Ufaransa. PSG imepata ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa ligi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa jana Jumanne, Oktoba 20,2026, lakini timu hiyo ya Ufaransa imekumbwa na ...
Watumishi wa afya kutoka hospitali za Kitete na Jakaya Kikwete wakielezewa baadhi ya vifaa kwa ajili ya matibabu ya Moyo. Tabora. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete imeingia makubaliano na ...
Dar es Salaam. Wakati wanafunzi wengi wakihangaika na kanuni za hisabati, Tabasamu Karimu anasema amebuni njia mbadala za kutatua baadhi ya maswali, akilenga kulifanya somo hilo lieleweke kwa urahisi ...
Dar es Salaam. Uongozi wa 15 de Agosto umebadili uamuzi na kuruhusu mashabiki waingie katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwenye mechi yake ya nyumbani ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ...
Dar es Salaam. Katika uchunguzi wa tukio la ndege ya Flydubai FZ1073, swali kuu si tena kama msaidizi wa rubani alimshambulia nahodha. Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema alitekeleza ...
Dar es Salaam. Nahodha msaidizi wa Simba, Rushine De Reuck, amesema bado ana matumaini ya kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’, akiamini kiwango chake akiwa na ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari 13 wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa), Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) na mgambo kwa tuhuma za kuhusika na vifo vya watu wanne ...
Dar es Salaam. Maisha ya mwanaume yanaweza kuanza kuvurugika taratibu bila yeye kutambua. Wakati mwingine, chanzo si tukio kubwa, bali ni ujumbe mfupi wa simu, picha anayotazama kwa siri au rafiki ...