CHAMA cha Walimu (CWT) Mkoa wa Pwani kimemuomba Katibu Tawala wa mkoa huo Richard Kayombo kuwahimiza waajiri kufanya mabaraza ...
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa wito kwa Nchi Wanachama wa ...
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imepanua usajili wa Wakenya wanaoishi ughaibuni kutoka nchi 12 hadi 26, hatua inayolenga kuwapa Wakenya wengi zaidi nafasi ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Agosti ...
Wadau wa afya wakiwa katika ufunguzi wa Mkutano wa GC8 Grant-Making Mission, unaolenga kukamilisha masuala ya kiufundi, kifedha na utekelezaji yaliyosalia kabla ya nyaraka za ruzuku hiyo kukamilishwa.
DAR ES SALAAM: Serikali imesisitiza umuhimu wa kusimamia uadilifu, usahihi na ukweli katika mnyororo wa taarifa, hasa katika kipindi hiki ambacho teknolojia ya kidijitali imeongeza kasi ya upatikanaji ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, John Heche, akiwapungia wanachama na wapenzi wa chama hicho waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Musoma. Picha na Beldina Nyakeke. Musoma.
Raia 49 wa Kenya ni miongoni mwa maelfu ya watu walio katika orodha mpya ya wanaosubiri taratibu za kufurushwa kutoka Amerika. Majina na picha za Wakenya hao zimechapishwa hadharani kama sehemu ya ...